Priva atoa boko la Kizz Daniel afuta tweet haraka sana

Priva atoa boko la Kizz Daniel afuta tweet haraka sana

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Pole sana bwana Shayo najua utakuwa umepigwa mkwara mzito na maboss wako ukafuta tweet ndani ya dk chache, kwani hukujua jamaa jana hakutokea kwenye show iliyoandaliwa na kampuni yenu na vurugu zilizotokea?

Ndiyo madhara ya kurukiarukia kila kitu kukifanyia uchambuzi


kizzpriva.JPG
deleted.JPG
 
Sababu ni mavazi ya kupanda nayo stejini, begi alisahau Kenya, na hapa Bongo kila vazi alilopewa alikataaa, ndo ikabidi asitokee jukwaani.

Ila huyu priva hakomi tyuuh lol
 
Ila mi itabidi nihame tu Dar. Yaani sijui kitu.
 
Back
Top Bottom