njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
hakutokea na watu wamelipa pesa ndefu na yuko mjini dsm, wadada unaambiwa walikuwa wanarusha vyupa balaaKumbe hakutokea huyo jamaa
Hahahaaa walio mleta ni nani CMG au ?hakutokea na watu wamelipa pesa ndefu na yuko mjini dsm, wadada unaambiwa walikuwa wanarusha vyupa balaa
Sababu ni mavazi ya kupanda nayo stejini, begi alisahau Kenya, na hapa Bongo kila vazi alilopewa alikataaa, ndo ikabidi asitokee jukwaani.
Ila huyu priva hakomi tyuuh lol
Wangemvesha dela tu atumbuize
Hao wadada waliorusha vyupa ndio wale ambao huwa wanakula nauli.hakutokea na watu wamelipa pesa ndefu na yuko mjini dsm, wadada unaambiwa walikuwa wanarusha vyupa balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wangemvesha dela tu atumbuize
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]