Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

Edson bana hizi sasa ni chuki binafsi. Unataka kusema hata hao waliofaulu walikuwa hawaendi kwenye some entertainments? Acha bana!



kwa huyu nakwambia alikuwa hasomi huyo......huyu baada ya kutoka st.patric arusha alikwenda kifungira..hule hakufikisha wastani wakatimua haraka sana kabla hajaingia form two...ndipo akapelekwa pale feza......mama yake alikuwa mwalimu na mimi nasema hakuwajalina kuwaangaai watoto wake.....mi nakwambai mwanajamiione anayepata div one na hizi four za kina mwanaasha wote msuli wao ni mmoja but in oppoisite direction.......wakati huyu anaitafuta div one mwingine yuko bize na shows kama hizi.....
 
Hakuna baya hapo eti jina la mtoto wa president kuonekana akiwa amefeli. No infringement of any prvacy. However, amefeli kama binadamu wengin tu hapo....... bahati yake mbaya ni kuwa yeye ni public figure, that is the price..... sorry Mwanaasha. Kwa hiyo tusishangae wala isiwe topic hapa......nawakilisha.
 
mwanajamiione sina chuki binafsi na huyu mtoto ila tunaowajua hawa watoto ni bogus sana.....huyu alikuwa hasomi..alikuwa mzito sana na haelewi...muulize huyo moses andrew swai aliyekua wa kwanza kitaifa juu ya ratiba yake jinsi alivyokuwa anasoma....huyu ni mzembe na wazazi wake wazembe kazi kubembea tu......walijua huyu mtoto ni mzito wa kuelewa mzaz hasa mama alipaswa kuwapangia ratiba tight.....
 
Miaka yote matokeo ya sekondari yamekuwa siyo siri. Hata kabla ya kuingizwa kwenye mtandao, mtu ulikuwa unaenda kwenye shule iliyo karibu unaomba buku la majibu unaanza kupekua. Sasa kesi hapo ni ipi? Kwa vile ni mtoto wa JK?

Mie naona hata miaka ile mfumo huu haukuwa sawa. Na kwa sababu tu tumekuwa tukifanya kitu namna fulani kwa "miaka yote" haina maana kwamba kufanya hivyo ni sawa.

Njia bora, kwa miaka ile na hii, ni kutoa matokeo kwa namba.

Ukizidisha habari za mitandao ndipo unapata sababu zaidi za ku protect identities za watu.

Na hapa ninachosema sisemi kwa sababu huyu binti ni mtoto wa JK. Ni kwa sababu mie ni staunch supporter wa privacy.
 
considering that some of JK's kids from other mothers(not salma)have had some share of academic achievements..e.g Ridhwani and Salama(who is a medical dr).

Huyo hapo kwenye red nae aligoma?
 
nadhani NECTA hawana tatizo ila tatizo linaonekana linapolenga aina fulani ya watu na huu utaratibu haujapingwa ila umepongezwa na wazazi kwani hata sie wazazi tulishadanganywa majibu kwa vile ilikuwa ni suala la namba tu
 
hapo hakuna cha kushitaki wala nn kwani hiyo imeanza leo maana toka miaka hiyo majina yalikuwa wazi nahakuna kilocho fanyika so leo kisa ni toto la huyo mnaye mwita Raisi (sorry kwa hilo maana nijuavyo mm yy sio muongozaji nchi so sio RAISI WANGU) Eti akashitaki hakuna kesi hapo naikitoke wata eleza wale wananchi wa likuwa hawana uwezo nani ali wasimamia?
 

Tambua kaka baba ake ana uwezo wa kubadili yote hayo. Tusilalamike tu kwa ajili ni mtoto wa raisi. Kuna wengine pia wana athiriwa na hili. Labda mzee wake ataona sasa umuhimu wa swala la privacy.
 

Effective idea!
 
Tambua kaka baba ake ana uwezo wa kubadili yote hayo. Tusilalamike tu kwa ajili ni mtoto wa raisi. Kuna wengine pia wana athiriwa na hili. Labda mzee wake ataona sasa umuhimu wa swala la privacy.

Yaani Kikwete anaweza tu kubadili sheria on a whim?
 

I noted that as well. Mara nyingi hizi regulations haziwi published. Unakumbuka ile sheria aliyo-cite Magufuli inayompa mamlaka ya kupandish nauli feri? Wengi tulikuwa hatujawahi kuisikia. Ni mpaka itokee issue ndio zinaenda kutafutwa kwenye makabati. Lakini kama ulivyosema, hiyo sheria inaipa NECTA extensive and discretionary powers.
 
hivi mtoa mada anajua nn maana ya privacy?
hadi sasa Tanzania hatuna sheria rasmi INAYOlinda taarifa binafsi za mtu (Data protection law=, katiba, CPA nk zinarestrcict tu privacy kuliko kulinda
. nchi nyingi duniani tayari wanazo na kunakuwa na mamlaka maalumu ya kusimamia
yaani Data protection authority ambako mtu anaweza kushtaki kama akiona habari zake zimetumika visivo bila idhini yake.
Kuna principal za data protection ambazo zimeanishwa katika sheria hii ya kimataifa ICCPR, ECHR nk
kama Tanzania hatuna Necta watawezaje kuwa nayo??? kutoa majina ktk mtandao hiyo ni policy ya necta na haijavunja right to privacy kwani privacy unagusa vitu vingi na exception yake ndio kama wanavofanya NECTA kwani kutoa majibu ni haki ya kila mtu kupata ni
ningeandika mengi ntawachosha,
 
Reactions: EMT
Mimi nilidhani lengo la kutuanzishia shule za kata na kutozijali lilikuwa ni kuwafanya watoto wetu wawe mambumbumbu ili watoto wao waendelee kutawala milele. Kumbe hata huko kwenye shule bora za mapesa kunazalishwa mambumbumbu kama binti wa mkulu?
 
Nadhani wengi hamsomi na kuelewa kile mtoa mada anachosema. Kuna sheria za kulinda haki za information za watu.

Kinachofanyika sasa na Baraza la mitihani cha kutoa majina ya watu na vile walivyofanya kwenye mitihani yao sio kitendo halali.

Mwanzilishi ametumia Jina la mtoto wa Kikwete hili kuipa nguvu hoja. Lakini ukweli ni kuwa matokeo ya mitihani yanatakiwa kubakia kuwa ni information ya mtu binafasi.

Mnamsema mtoto wa Kikwete, lakini huyo wazazi wake wana nafasi. Kuna watoto wengi wanapata matokeo kama hayo na hawana nafasi za kusaidiwa. Na jinsi tunavyochukulia kuwa matokeo ya shule ni mwanzo au mwisho wa maisha, tunawakatisha tamaa watanzania wasiofaulu mitihani.
 
tena mimi nimuombe mama salma kuwa kwa sasa amwangalie sana Ali.....la asivyo waaibika sana na hao watoto wao!!!
 

Pia hata waliofaulu wanaweza kuathirika na hii system. In fact, wanaofaulu ndio wanaoathirika zaidi. Mtu atachukua details za mwanafunzi aliyefeli akazifanyie nini?
 

Mkuu

Sheria ya privacy inagusa mpaka matokeo ya mitihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…