Kevin Kevin
Member
- Mar 18, 2013
- 28
- 5
jibu ni hakuna
tz hatuna specific data protection act kama katiba inavoagiza tuwe nayo Ibara ya 16.
kwa sasa sheria kama EPOCA, au DNA Act zinavifungu vichache kuhusu privacy lakini havijitoshelezi.
mchakato unaendelea chini ya prof Mchome ambae sio msomi wa ICT law lakini ndio wanaanda hiyo data protection bill. ndio tanzania ilivo.
Kwa sasa hapo Tanzania waone watu kama Fulukunjombe anafundisha Tumaini ana masters ya ICT
au Dr Alex Makulilo mtaalamu wa ICT-data protection yupo open univeristy
na wengineo ingawa sio wengi kina Mambi wa Law Reform..
google pia Tanzania lag on privacy law | Tanzania Legal News
Ubena ambae anasoma PhD Stolkholm huwa anapost makala yake hapa.sina hakika kama keshamaliza
Nishakujibu kama ukitaka zaidi soma vitabu na articles
naona umepewa assignemnt hapo chuoni kwako unataka majibu ya haraka badala ya kusoma.
Asante kwa mchango wako ndugu, lakini kwa bahati mbaya sifanyi assignment NA pia ni heshima zaidi kutoa mchango bila dharau kwani si lazma anayeuliza kuwa mwanafunzi, act like a lawyer ndugu!
Thx guys, nitachek NA hao waungwana
ningekuwa na dharau nisingepoteza muda kukuandikia yote hayo na kukupa hata watu wa kuwasaidia
I was just joking labda kama wewe bado uko under 25 au hujui maana ya jokes in academics
lawyers are the most funny people on earth sasa ulitaka niact namna gani tena?
have you been in court? no jokes in court?
hey wajamen jmn take easy i found that it was a jocking and no bias here my intention is to (we)return in the status quo.
can u give me some example of DATA coz is an ambiguois.
Am sorry, never ment to offend you, nashukuru boss
Nadhani mwuliza swali anauliza zaidi ya jamo moja: 1. Privacy Law 2. Data Protection Act
Wengi wanaongelea Data Protection Act lakini sioni kama wamejibu juu ya privacy Law (ipo ama haipo). Because i think they are two different things, sometimes related and sometimes they dont. Ningependa kusikia pia kama kuna mtu anaeweza kufafanuua juu ya area zote mbili! Thanks