jibu ni hakuna
tz hatuna specific data protection act kama katiba inavoagiza tuwe nayo Ibara ya 16.
kwa sasa sheria kama EPOCA, au DNA Act zinavifungu vichache kuhusu privacy lakini havijitoshelezi.
mchakato unaendelea chini ya prof Mchome ambae sio msomi wa ICT law lakini ndio wanaanda hiyo data protection bill. ndio tanzania ilivo.
Kwa sasa hapo Tanzania waone watu kama Fulukunjombe anafundisha Tumaini ana masters ya ICT
au Dr Alex Makulilo mtaalamu wa ICT-data protection yupo open univeristy
na wengineo ingawa sio wengi kina Mambi wa Law Reform..
google pia
Tanzania lag on privacy law | Tanzania Legal News
Ubena ambae anasoma PhD Stolkholm huwa anapost makala yake hapa.sina hakika kama keshamaliza
Nishakujibu kama ukitaka zaidi soma vitabu na articles
naona umepewa assignemnt hapo chuoni kwako unataka majibu ya haraka badala ya kusoma.