Sasa hali ni tete kama Simba inajilinganisha na Singida Fountain iliyoanzishwa mwaka jana!Singida Fountain nini sijui walipofanya tamasha lao walikuwa wameshachukua kombe gani? Kwanini huyu mpuuzi hakupost hivyo dhidi ya Singida? Pumbavu sana.
Ahmed ally anahusikaje hapoHuyo Mashayo naye apunguze kiherehere...
Ahmed Alli anawapa muhaho sana.
Lakin kweli hamna [emoji966][emoji966][emoji966]lake mtu halimpashi...
Makolo ni watoto wadogoNgoja vijana wa Rage waje wakiwa wamefura kwa hasira. Watamtukana matusi ya nguoni, mpaka atajuta kuzaliwa.
Singida wamejitahidi ..... upcoming team ...lakin imefanya makubwaSingida Fountain nini sijui walipofanya tamasha lao walikuwa wameshachukua kombe gani? Kwanini huyu mpuuzi hakupost hivyo dhidi ya Singida? Pumbavu sana.
Sahihi MkuuSasa hali ni tete kama Simba inajilinganisha na Singida Fountain iliyoanzishwa mwaka jana!
Huoni hayo ni mafanikio makubwa kuwa moja ya top four!
Anahusika kama msemaji wa Simba..
Simba haijajitahidi kuvuka mto uliokuzamisha kule Champions League na hatimaye kuangukia Losers League?Singida wamejitahidi ..... upcoming team ...lakin imefanya makubwa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hafai kuwa msemajiAnahusika kama msemaji wa Simba..
Na mimi nimejisikia tu kumuhusisha..