Privaldinho: Simba day bila taji lolote ni Zindiko

Privaldinho: Simba day bila taji lolote ni Zindiko

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Privaldinho: Simba day bila taji lolote ni Zindiko

Wakati tuluiwa kwenye maandalizi heavyweight ya siku ya Simba day Kuna kauli kadhaa zimetolewa

1. Tamasha bila kombe ni kitchen party

2. Tamasha bila medali ni Zindiko

Je, kuna ukweli kwenye kauli hizi?

1691256028798.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Singida Fountain nini sijui walipofanya tamasha lao walikuwa wameshachukua kombe gani? Kwanini huyu mpuuzi hakupost hivyo dhidi ya Singida? Pumbavu sana.
Sasa hali ni tete kama Simba inajilinganisha na Singida Fountain iliyoanzishwa mwaka jana!

Huoni hayo ni mafanikio makubwa kuwa moja ya top four!
 
Back
Top Bottom