Ni vitu viwili tofautiKwahiyo maandalizi ya msimu mpya yanahusiana nini na kombe? Basi hata ndoa zifanyike zikiwa na watoto tayari
Champions leagueLabda fainali ya CUF ya Lipumba. Maana mwaka huu hakuna kuingia kwa gia ya looser kule shirikisho
Priva hajui Simba Day imeanza wakati bado yuko Rombo kwao anachunga mbuzi migombaniHaya ndio matatizo ya akili yanayoimbwa kila kukicha hapa nchini.
Yaani mtu kama prv ambaye mi naamin angalau kidogo mpira wetu kivyetu vyetu anaujua ndiye analopoka kiasi hiki?
Kwamba hajui kama hii sio sherehe bali utamaduni wa simba?
Kwamba hajui kua tamasha hili lilianza hata kabala hajamaliza shule na alikuwa analisikia kila mwqka bila kujali mafanikio.
Kwamba hajui kuwa hata mwajiri wake wa sasa alifanya tamasha kwa miaka minme mfululizi bila kuonyesha chochote
AKAPAIME AFYA YAKE KWANZA
Ya mtoto wa kiume kubana bana pua.
Kombe hakuna Ila tuna mahela mengi ya CAF na maokoto mengineyo.Ndiyo maana hatujilizilizi kwenye usajili na kuweka camps.Lakin kweli hamna [emoji966][emoji966][emoji966]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kumbe huyo meku ni upinde, hasara kwa wazazi wakeYa mtoto wa kiume kubana bana pua.
Bila kumtaja bwanako Rage husikii raha
Taji llipi wakati Ni maandalizi na ufunguzi wa msimu mpya.Privaldinho: Simba day bila taji lolote ni Zindiko
Wakati tuluiwa kwenye maandalizi heavyweight ya siku ya Simba day Kuna kauli kadhaa zimetolewa
1. Tamasha bila kombe ni kitchen party
2. Tamasha bila medali ni Zindiko
Je, kuna ukweli kwenye kauli hizi?
View attachment 2709480
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sasa Kwann mudi anasusa Kila dailyKombe hakuna Ila tuna mahela mengi ya CAF na maokoto mengineyo.Ndiyo maana hatujilizilizi kwenye usajili na kuweka camps.
UnprofessionalUkishaenda huko lazima uwe huna akili,tushawazoea
Achana na history mkuumwambieni ashugulukie app yenu maana washabiki wenu wanalipa lakini hawapati maudhui.
Simba wamefanya tamasha la 15 na ndio waasisi lakini wao wameiga tamasha la Simba waulize wakati Simba wanaanzisha hili tamasha walikuwa na kombe lolote au wakati yanga wanafanya tamasha lao la kwanza walikuwa na kombe lolote.
wale wanaojiita mabingwa wa historian vipi ulishawashauri waache historian.