Privaldinho: Simba day bila taji lolote ni Zindiko

Privaldinho: Simba day bila taji lolote ni Zindiko

Haya ndio matatizo ya akili yanayoimbwa kila kukicha hapa nchini.

Yaani mtu kama prv ambaye mi naamin angalau kidogo mpira wetu kivyetu vyetu anaujua ndiye analopoka kiasi hiki?

Kwamba hajui kama hii sio sherehe bali utamaduni wa simba?

Kwamba hajui kua tamasha hili lilianza hata kabala hajamaliza shule na alikuwa analisikia kila mwqka bila kujali mafanikio.

Kwamba hajui kuwa hata mwajiri wake wa sasa alifanya tamasha kwa miaka minme mfululizi bila kuonyesha chochote

AKAPAIME AFYA YAKE KWANZA
Priva hajui Simba Day imeanza wakati bado yuko Rombo kwao anachunga mbuzi migombani
 
mwambieni ashugulukie app yenu maana washabiki wenu wanalipa lakini hawapati maudhui.
Simba wamefanya tamasha la 15 na ndio waasisi lakini wao wameiga tamasha la Simba waulize wakati Simba wanaanzisha hili tamasha walikuwa na kombe lolote au wakati yanga wanafanya tamasha lao la kwanza walikuwa na kombe lolote.
 
Privaldinho: Simba day bila taji lolote ni Zindiko

Wakati tuluiwa kwenye maandalizi heavyweight ya siku ya Simba day Kuna kauli kadhaa zimetolewa

1. Tamasha bila kombe ni kitchen party

2. Tamasha bila medali ni Zindiko

Je, kuna ukweli kwenye kauli hizi?

View attachment 2709480

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Taji llipi wakati Ni maandalizi na ufunguzi wa msimu mpya.

Kwani ilikuwa tamasha la kufunga msimu
.
 
mwambieni ashugulukie app yenu maana washabiki wenu wanalipa lakini hawapati maudhui.
Simba wamefanya tamasha la 15 na ndio waasisi lakini wao wameiga tamasha la Simba waulize wakati Simba wanaanzisha hili tamasha walikuwa na kombe lolote au wakati yanga wanafanya tamasha lao la kwanza walikuwa na kombe lolote.
Achana na history mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom