Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwani nyinyi na huyo Manara wenu mna tofauti gani? Wote si mna midomo michafu ya kutukana tukana tu watu hovyo!Na yale ya Manara kuwa wanayanga vyupi vyao vimejaa kinyesi,wana Yanga wote ni hamnazo na yale ya Luc Eymael kuwa wana Yanga wote ni sawa na kima na mbwa nayo weka kwenye kumbukumbu zako