PRIVALDINHO

Na yale ya Manara kuwa wanayanga vyupi vyao vimejaa kinyesi,wana Yanga wote ni hamnazo na yale ya Luc Eymael kuwa wana Yanga wote ni sawa na kima na mbwa nayo weka kwenye kumbukumbu zako
Kwani nyinyi na huyo Manara wenu mna tofauti gani? Wote si mna midomo michafu ya kutukana tukana tu watu hovyo!
 
Attachments

  • 20220725_175556.jpg
    57 KB · Views: 5
Video ya Manara kuhusu wenye akili Yanga unayo?
Kwani Haji Manara si simba mwenzenu! Baada ya njaa kupanda kichwani, na pia kushindwa kuhimili ule mshahara wenu wa laki 7, akaamua kujitoa ufahamu na kuja kuajiriwa na GSM!

Hivyo hakuna jipya hapo.
 
Kwani nyinyi na huyo Manara wenu mna tofauti gani? Wote si mna midomo michafu ya kutukana tukana tu watu hovyo!
Manara mnamkana tena kipenzi chenu? Utopolo mbona mnakuwa watu wa kulia lia sana? Nyie pia ni watukanaji ila mkijibiwa sawa sawa na ujinga wenu mnaona mnaonewa. Au nyie mna kinga ya kuwasema wengine vibaya bila kujibiwa?
 
Na yale ya Manara kuwa wanayanga vyupi vyao vimejaa kinyesi,wana Yanga wote ni hamnazo na yale ya Luc Eymael kuwa wana Yanga wote ni sawa na kima na mbwa nayo weka kwenye kumbukumbu zako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani Haji Manara si simba mwenzenu! Baada ya njaa kupanda kichwani, na pia kushindwa kuhimili ule mshahara wenu wa laki 7, akaamua kujitoa ufahamu na kuja kuajiriwa na GSM!

Hivyo hakuna jipya hapo.
Jibu swali mkuu...acha kuruka ruka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…