Private candidate aliyepata 1-4

Muhimu jitihada tu kila kitu chini ya jua kinawezekana mkuu.
 
Wako aina nyingi labda alishasoma hakufanya paper last year.....au QT ila hongera sanaa kwake juhudi lazima
Kweli inaonekana alijipanga zaidi ya muda maalumu.
 
Mimi best yangu aliahirisha PCB akarudia alikula 4 PCB akaenda china.....sasa Bingwa hapa nchini.....strategies hasa Bios inaua usipokuwa makini.....nimeshangaa PCB wameongoza huwa PCM zaidi Bios ni nyoko huwa A nadra
 
Kwa kweli ila me naona ukijipanga vizuri PCB unatoboa vizuri, pia inawezekana huyo jamaa alikuaga vizuri ila akufanya mtihani ndio akaamua kuridia na imemlipa.
 
Yes imemlipa sanaaa full scholarship miaka 12 karudi mtamuu sanaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…