kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Mods shikilieni kwanza mpaka nimalize kuusoma tafazali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shukrani sanamkuu umeandika vizuri sn.. niliandika mada kama hii moderator wakaitoa hapo kabla..
Labda zinaendeshwa kisiri ila kwa Afrika kusini kuna makampuni yanafanya kazi za kipelelezi na yanalipa kodi kwa SerikaliFirm za namba hii zipo Hata Tanzania lakini kujulikana ndio shida. Hawana Uhuru wameaanza na wale kwenye shida za ndoa wanawahangaikia sana hasa wanawake ila shida akilegeza mkeo analiwaaaa
Inaewezekana mkuu..Hawo watu walishakimbia lakini wako hapahapa Tanzania. Ninachohitaji ni kuwapata tu...
Kufuatilia mienendo ya mtu inahitaji umakini na muda wa kutosha.Nikiwahi kufanya hiyo kazi ina ugumu wake muda mwingine nilikuwa nalala nje ya nyumba aiseee.
ukiwa na namba ya mtu unaweza kujua yuko wap na kupata picha yake hata kama hayuko whatsapp?Inaewezekana mkuu..
Nipe majina yao halis, pia kama wana majina ya utani au a.k.a
Walikua wanaish wapi the last time, nyumba na mtaa
Watu wao karibu ni nani uliyemfaham, mpenz au mume au mtoto
Walikua wanafanya kaz gani na ofis zilikua wapi yani last time
Namba zao simu za mwsho kuongea nao kufanya nao mawasiliano
Namba za simu za watu wao wa karibu ni zipi
Wanapendelea kuhang out sehem zipi haswaa
P.I
BRO KWANZA NIKUPONGEZE KWA KULETA HAKA KAUZI MWENYEWE NILISHAWAHI FIKIRIA HII KITU KUWA KWANINI TZ KUSINGEKUWA NA HII KITU PRIVATE INVESTIGATOR NAJUA KIBONGO BONGO NI NGUMU KWASABU KWANZA ITAONEKANA KAMA JEAHI LA POLISI HALIFANYI KAZI HALAFU PIA KUWA PRIVATE DETECTEV INAHITAJI UWE NA ELIMU NZURI YA COMPUTER ILI KUPATA DETAILS ZA VICTIM S LAKIN PIA UWE NA GOOD COMMUNICATION YA TAASISI ILI KUWEZA KUKUPA TAARIFA UNAZOHITAJI SASA HILO KIBONGO BONGO DAAH NI SHUHURINi kweli Tanzania hakuna baadhi ya watu wanafanya kisiri,ila kwa Afrika kusini utaratibu huu upo ni vema na sisi tukautumia vijana wakapata ajira.
Wangeruhusi nahisi ningejiajiri kwa fani hiyoKwa sheria zetu za tanzania, hairuhisiw but unaweza kufanya hvyo kwa siri kwa kumuajir mtu mwenye uwezo kiakili, kufanya ujasus kupepeleza hao wahun, so utampa details ambazo unazijua w kuhusu hao watu