private hospitals kama gvt

private hospitals kama gvt

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,332
jamani mmmh
yani private hospitals siku hizi huduma zeeero kbisa bora hata mwananyamala,watu nyomi,wafanyakazi wachache halafu customer service mbovu, yani hata ukiwaza kwenda hospitali unatamani ardhi ipasuke pwaaaa!!!!

naanza na TMJ, mamaaaaa hii hospital kwisney kabisaaaaa sijui wanaelekea wapi nana shughuli inawashinda.
 
Back
Top Bottom