bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,072
- 186
Wakuu!
Anatafutwa mwalimu wa kufundisha mafunzo ya ziada kwa mwanafunzi wa Darasa la Sita (Mtaala wa Tanzania, taught in English). Kwa aliye tayari, au anayemfahamu mtu ani-PM hapa.
Masomo ya kufundisha:-

- HISABATI
- CIVICS
- ENGLISH