Private tuitor for grade vi student required

Private tuitor for grade vi student required

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
1,072
Reaction score
186
Wakuu!

Anatafutwa mwalimu wa kufundisha mafunzo ya ziada kwa mwanafunzi wa Darasa la Sita (Mtaala wa Tanzania, taught in English). Kwa aliye tayari, au anayemfahamu mtu ani-PM hapa.

Masomo ya kufundisha:-
  1. HISABATI
  2. CIVICS
  3. ENGLISH
 
Kuna ticha humu kapost uzi kua anatafuta ajira privately jaribu kuwasiliana nae
 
Back
Top Bottom