Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Shusha pumzi, achana nao Dunia ili ikamilike lazima kuwe na watu namna hii wala wasikupe shida, hawa sio Mungu wala malaika wao ni binaadamu kama wewe kwanini uwakimbie sasa!!
 
Mbona mie shoga yangu kaolewa na Dr. Tena kijana tu wa miaka 30's. Alizalishwa akiwa na miaka 23 binti yake ana miaka 4. Tusikalili ndio maana waswahili walisema ukipenda boga penda na ua lake. After all kuzaa sio hoja tabia matters
Ukiona hivyo ujue huyo shoga yako sio kilaza wa kuchumiwa na kuletewa nae ni mwanaharakati
 
Ulichagua kuzaa...!hapa unatudanganya labda kama bahati mbaya..

Sikuchagua kuzaa kabla ya ndoa ila nilipata mimba kabla ya ndoa iliyonipelekea kuwa single mom. Nilikua na option ya kutoa pia ila nilichagua kulea mimba yangu bila kujali binadamu wengine hasa wanaume wajinga kama baadhi yao humu walivyo watasema nini.
 
Hilo lipo na limeshanitoka, mm nilikuwa hit and run lakini alining'ang'ania balaa huku akijua kuwa ni mme wa mtu, pia kuna jamaa namfaham yy aligharamiwa kila kitu jamaa kaolewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na ratio ya wanaume wenye ndoa kulea watoto wa michepuko ya wake zao inaongezeka kila siku, sasa wewe waache wapambane na single mother huku wake zao wakiluka ukuta na kujipatia mimba ambazo wanazifanya kuwa za waume zao
Kwahiyo umembambikiza jamaa mtt?!
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] tatizo harusi kuuuubwa ndoa inakuwa zero sasa hapo ndo mtajua kwann wengine wanakimbilia waliozaa
Sanasana utasikia nguo atakayovaa kuwakoga wenzake, ukumbi utakuwa wapi....hayo mambo wanayapa muda mwingi kuliko mambo ya msingi ya ndoa.
 
Shusha pumzi, achana nao Dunia ili ikamilike lazima kuwe na watu namna hii wala wasikupe shida, hawa sio Mungu wala malaika wao ni binaadamu kama wewe kwanini uwakimbie sasa!!
Asante mamii, nshawadharau nawaangalia tu wanavyobwabwaja humu.
 
Pole
 
Wakati unafanya tendo hukujua kama umeshachagua kuzaa kabla ya ndoa?!
 
Hivi hawa single mothers wanajipaga mimba wenyewe????

Wengi tu humu nizao la hao single mothers, embu waacheni kama wewe huwezi kuoa wenzio wanawaoa.
Mwenye mtoto anaolewa na mweny watoto pia... So no case.
Ila fresh awezi oa aliyezaa
 
Ishu kuzalishwa kama umezalishwa labda ntaonja tu ila mipango ya kukuoa sahau
Nilichokugundua Mkuu unatafuta tu League na hawa wadada, namsikitikia sana mpenzi wako kwa kuwa na mwanaume mwenye mihemko na aliyekosa busara,muda mwingine kukaa kimya ni bora kuliko kukufulu kwa namna yako sasa kwa taarifa yako wanaume wengi ndani ya ndoa wanalea watoto wasio wao Huyo unayemuita single mimba aliyoibeba ndani ya ndoa yako yaweza isiwe yako naimani siku ukijua utazidi kuifurahia, shwaini
 
Hivi hawa single mothers wanajipaga mimba wenyewe????

Wengi tu humu nizao la hao single mothers, embu waacheni kama wewe huwezi kuoa wenzio wanawaoa.


Mimi mwenyewe nimeoa mwanamke ambaye alishazaa na maisha yanaenda vizuri tu.
 
Hizi ni kauli za mkosaji

Mkosaji kwa kigezo kipi? Kwa umri wangu nina nafasi bado ya kuolewa halafu mkumbuke wanaume wa Jf ninyi sio Mungu kwamba mnataka kila kitu kitokee vile mnakiona. Kila kitu kinatokea kwa sababu. Acha wale wanawake wanaachwa na waume zao wa ndoa wakaachwa na mtoto au watoto kuna type yangu sisi tunaobeba mimba bila kutarajia umewaza kwamba tulikua na uwezo wa kutoa ila tukaamua kulea mimba bila kuogopa jamii itasema nini? Nyie wanaume wa huku maneno yenu sio sheria yaani ongeeni ila mjue single mothers kibao wanaolewa labda kamaa dada ako hajaolewa asubirie muda wake haujafika.
 
Ligi ipi sasa sie tunaongea ukweli illa nashangaa nyie mnaleta mihemko yenu kwani hapa tulikatazwa kuongelea hizi ishu?
 
Wadada acheni kupanic hii mada ya kawaida tu naona mnaanza kulialia
 
Sasa hao masingo faza wakija kukumbushia si inakuwa balaa
Usifikiri kila mwanamke ana akili kama yako, mwanamke asipokua mama yako atakua Dada yako , shangazi yako au mwanao -Muheshimu mpe heshima yake sio matusi
 
Ni mtazamo wako tu, Ndo maana tunaamini kuwa kila ki2 kinapangwa na Mungu so kama mtu kazaa kabla ya ndoa na kapata mme mwingine it doesn't matter whether mme ni bikra au la, ujue kuwa aliyepangiwa kumuoa ndo huyo alofunga nae ndpa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…