LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
Shusha pumzi, achana nao Dunia ili ikamilike lazima kuwe na watu namna hii wala wasikupe shida, hawa sio Mungu wala malaika wao ni binaadamu kama wewe kwanini uwakimbie sasa!!Sawa mkuu lkn basi nihukumu mm km mm, sio ufike hadi kwa mtoto. Kuna ulazima gani wa kuita litoto? Kosa la mtoto hapo ni nini? Kuweni na busara, msiwe mnaropoka tu Nyuma ya key board ukidhani mnafurahisha watu kumbe mnaumiza sana mioyo ya watu bila kujua.
Unadhani wote tulipenda kuwa hv? Kuna mambo mengi sana nyuma ya hili jambo, msiwe wakurupukaji tu otherwise mseme tuwaachie jukwaa.