Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Hivi kwani mtu asipoolewa atakufa? Wanaume wenyewe nyie wachache afu mnategemea kila mtu awe na mwanaume wake ndo azae.
Wew ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini.
Na nyie endeleeni kuoa wanawake wabichi wasio na watoto ila wametoa mimba mpala mayai yameisha sisi single mothers we are happy the way we are ndo maana tulichagua kuzaa hali na kujua tutapata shida kupata wenza wa maisha yetu ila kwa sisi UHAI wa kiumbe ni bora kuliko NDOA.
 
Well said dear
 
Usikariri ndugu huo utafiti wako sijui wa wapi.?me nimeolewa nikiwa singo mama tena nime someshwa kuanzia A level mpaka chuo na kijana tumefunga ndoa akiwa na miaka 32 tunapendana tuna heshimiana
1 in 10000000
 
Ukwel mchungu ila huo niukwel, muelewen mtoa mada sio kwamba wote hawaolew, ila tataizo je wameolewa nawarika lao au je wameolewa nawanaume wandoto zao? Anaweza akaolewa sawa ila acwe yule aliyemtaka yeye, tena hasa mwanamke awe ajiwez kiuchumi dah mbona nishida!! Ukwel nilazima uwe ukwel waliokwisha pata watoto watachukia ila ila itakuwa faida kwawadada wengine ambao bado hawajazaa ili wajichunge nawajue madhara yake
 
Jamani unaweza kuolewa ili mradi kuondoa nuksi i.e BORA MUME. Lkn anakuwa hagongi hisia na ndoto zako.

Na ukiona dume zima humu jf linatetea simgle mothers kuwa wanaweza kupata waume wa ndoto zao ujue nalo limeokota nungayembe lenye mtoto.

Kuna kero 2 kubwa ukioa single mom. Moja ni kelele za, ama kuhudumia toto ambalo si lako.
Mbili, ni mawasiliano ya single mom na mzazi mwenzie~Lazima yatakuwepo tu, ya siri ama ya wazi.
 
Kuoa mke aliyezaa na mwanaume mwingine ni laana kama sio nuksi
 
Anaweza kuolewa kama atatulia na anaweza kukutana na mkongwe mwezie aliyeshindikana kama yeye ila asije akaweka mbele maharusi ya kupigiwa matarumbeta eti ! anamerere me!! wakati mmeremeto ulishakwisha. Avumilie tuu kwa kuwa alishaaribu avutwe kienyeji basi aendeleze maisha.
 
Hivi hakuna single faza kwani? Nawao wasioe basi
 
Yupi anameremeta kat ya aliezaa mtt wake na alietoa mimba kwa kuogopa kua sngo mom?kwhyo matarumbeta na vgelegele apigiwe alietoa mimba sindio?
 
The speed at which bros be bickering about women affairs, and caught up in homophobia is damn scary. Can't find the ground.
The scary is the what? mhh! Damn the ground? No man, just see the nanihii because the mukulu is also have problem with the languaje.

Angalau na mimi nijifariji kuandika kingereza maana sio mchezo hii lugha.
 
Kwa hiyo?
 
shamsha ford veepeeeeee usikariri mapenzi si babako
 
Wengi hawapendi single mother ulijizalia hovyo ruber inachoka ndio waume wanakula na kukimbia
Wanaume wengi wanapenda mke ambae hajazaa kwa kuwa rubber haijachoka kupwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…