Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Hivi kwani mtu asipoolewa atakufa? Wanaume wenyewe nyie wachache afu mnategemea kila mtu awe na mwanaume wake ndo azae.
Wew ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini.
Na nyie endeleeni kuoa wanawake wabichi wasio na watoto ila wametoa mimba mpala mayai yameisha sisi single mothers we are happy the way we are ndo maana tulichagua kuzaa hali na kujua tutapata shida kupata wenza wa maisha yetu ila kwa sisi UHAI wa kiumbe ni bora kuliko NDOA.