Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

utoto unakusumbua,ndoa unadhan ni kugegeda tu,haya tafutaga bikira

mie bwana ndoa najua ni kugegeda, mambo ya kujidanganya eti ujenge future na wife...tell u wat my mum alishanitaarisha vizuri na future kitegeneza yeye, i will never give my wife credit ya mafanikio yangu duniani. yote yataenda kwa bimkubwa maana najua yeye atakuwa amekubali kuolewa na mie becoz nimeandaliwa not becoz she loves me.
 
mwanaume uliyeandaliwa na mwanamke,mentality yako ni 'shemale'..una tatizo
 
Kwa jinsi nilivyofatilia hii mada mtoa mada atakuwa na umri wa 20's.
 
Chonde! Chonde! Akina dada.

Usiombe ukazaa kabla ya kuolewa ukawa single mother.

Ndoto zote za kuwa na mume wa ndoto yako hukoma siku utakapo toka labour ukiwa na mtoto asiye na baba.

Machaguo yote hukimbia hata uwe mzuri vipi. Utajiweka vizuri, utavaa vizuri na njiani utasimamishwa na wakaka watanashati lakini Mwanaume wa karne hii na awamu hii ya 5 ukimwambia tu nina mtoto basi ata-pretend kwa muda ili ale mzigo na baadaye atasepa.

Mdada mwenye mtoto anaishia kuolewa na mibaba iliyokula maisha mpk imechoka. Labda jibaba limefiwa na mkewe, ama limetengana na mkewe na lina watoto wakubwa kama ww. Badala ya kula maisha kwenye 6 kwa 6 unabaki kulilea tu. Unapotaka ku-DO nalo weka soda karibu maana hayakawii kushusha pressure.

Ukiwa na mtoto wanaume wa ndoto yako ndo basi tena. Daaah! [HASHTAG]#Sorry4[/HASHTAG] Single Mothers.
Ukweli mchungu
 
Hivi hawa single mothers wanajipaga mimba wenyewe????

Wengi tu humu nizao la hao single mothers, embu waacheni kama wewe huwezi kuoa wenzio wanawaoa.
Wanapewa
bora anayetoa kuliko anayepokea
 
Wanaume ukioa singo maza ujue umeoa mke wa mtu, unless aliyezaa nae kafariki na kama kafariki hakikisha ni ajali sio magonjwa...
Vinginevyo utajuta, wanaume wenzangu msiseme hatujaambiana ukweli yatakapotokea..
 
Kuna mmoja kashazalishwa anataka nimuoe mke wa pili namchora tu.
 
Kwann uoe single mama wakati wanawake wabichi na wazuri wamejaa mtaani kibao tu single mama ni majanga usijaribu kuoa mke wa mtu tuwale mbususu tupite na mia mpaka akili ziwakae

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wanawake wabichi na wazuri ndio guarantee ya kuwa na ndoa ya furaha??
 
Kuna mmoja kashazalishwa anataka nimuoe mke wa pili namchora tu.
Wife material ata remain kuwa wife material bila ya kujali amezalishwa ila kahaba atabaki kuwa kahaba hata kama hajazalishwa
 
Wanaume ukioa singo maza ujue umeoa mke wa mtu, unless aliyezaa nae kafariki na kama kafariki hakikisha ni ajali sio magonjwa...
Vinginevyo utajuta, wanaume wenzangu msiseme hatujaambiana ukweli yatakapotokea..
Hizo ni fikra walizonazo vijana wengi ambao wanafikiri bila ya logic single mother sio tatizo Bali mtu binafsi ndio tatizo
 
Probability huwa ni kati ya (0-1) kutokea kwahiyo ukisema 0.00001 nahisi hapa umemaanisha kinyume chake nimeishia la7D hebu wa form4 watukumbushe

Ukiona proba umepiga mathe ukapata 2.0-100% anza tena calculation
 
Back
Top Bottom