probation officer.,......

probation officer.,......

Jestina

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,828
Reaction score
1,712
ni nani kwa kiswahili?lol
hii kazi inalipa hapo bongo?
nataka kusomea degree in offender management,nirudi bongo nimechoka kukaa uk,niambieni inalipa?? kama hailipi nichukue degree gani inalipa hapo bongo???....msiniambie kujiajiri am not confident na ujasiriamali...not every body is!
 
hakuna anayejua jamani?lol
 
Digrii hizi tatu chagua mojawapo: criminalogy / crime scene investigation /Terrorism. Utafanya kazi na mkemia mkuu au DCI- director of criminal investigation. fanya haraka watu wa fraud hao wewe ni mtu wa kusafiri na mambo ya interpolice kuchunguza white colour crimes.
 
Probation officer ni afisa magereza kama sikosei (I watch zone reality na crime scene investigation too much,lol). Huku kwetu sijui kama inalipa sana ila u can imagine kuwa unasimamia wafungwa na pengine kuwapeleka mahakamani.tatizo la kusoma degree ya hivyo inakua kama udereva wa treni, wakikuboa serikali huna alternative. Nakushauri usome kitu general kama sheria, au fraud investigation kama ilivyotajwa na zinedine.kila la kheri
 
thanks kwa wote mliochangia....
 
Back
Top Bottom