franco15
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 518
- 208
Habari wataalamu!
Naomba msaada kwa yeyote ajuaye wapi nitapata dental probiotics na gut probiotics hapa dar, hasa zile za kampuni ya hyperbiotics. Nimejaribu kutafuta hapa dar sijaona mpaka uagize mtandaoni na gharama inaongezeka maradufu.
Miaka ya karibuni nimekuwa mtumiaji wa antibiotics kupitiliza(prescribed) na naona madhara yake mwilini. Msaada wa hizi utanisaidia, kama sasa nina gastritis sugu.