Probox au IST nivute ipi ?

Probox au IST nivute ipi ?

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Wataalamu wa hapa nataka kuchua probox 2013 au ist 2006 japo mezani imezi zaidi upande wa probox sababu ua ukubwa na uwezo wa kubeba mzigo, nitakuwa sawa au? Ina changamoto gani ambazo common nijiandae?
 
Kwenye ishu ya mizigo, chukua ist, utabeba iliyoenda shule.
Probox ni ya kishamba, hata mizigo yake ni ya kiporipori.
 
Msome tena.

Mara ngapi tena? Hebu fafanue wewe ! Kasema models zote zina beba mzigo ila pro box ya “kiporipori” [emoji1] sasa hiyo mzigo ya kiporipori ndio ipi? Pia ishu sio mizigo tuu, pia ugumu wake, nguvu, matatizo yake .. kuna gari likizingua sehemu kurudi kama kawaida inakuwa tatizo
 
Hazungumzii mizigo ya viazi au mahindi hapo.
 
Mara ngapi tena? Hebu fafanue wewe ! Kasema models zote zina beba mzigo ila pro box ya “kiporipori” [emoji1] sasa hiyo mzigo ya kiporipori ndio ipi? Pia ishu sio mizigo tuu, pia ugumu wake, nguvu, matatizo yake .. kuna gari likizingua sehemu kurudi kama kawaida inakuwa tatizo
Mzigo=demu
 
Chukua Succeed tena above 2017.
Ni kama Probox tu

Screenshot_2023-12-28-12-09-47-162_com.android.chrome.jpg

Bei za kizalendo kabisa
 
Succeed is better than Probox

Hata ukitaka kuiuza ni haraka sana kuliko probox.
 
Back
Top Bottom