Probox: Dawa ya Subaru

Probox: Dawa ya Subaru

Hiyo Probox imefanyiwa manuva sio bure
 
Mjapani aliyebuni probox alikuwa yupo vizuri na alikuwa ametulia. Hizo probox ndio daladala za kigoma ndanindani huko wanaziita mchomoko. Yaani mnajazwa watu, mizigo na mifugo sanasana mbuzi na kuku. Halafu dereva anaichochea kwenye vumbi la Kigoma kwa kasi ya ajabu mkija kushuka wote mna rangi nyekundu ya udongo wa Kigoma... Mchomoko ni next level.
 
Traffic wanazionea hizi gari sijapata kuona kama unasafiri na pro box basi safiri nayo usiku Tu.
Hizi gari zinatumika kubeba mizigo ya dili kuanzia mijini na vijijini
 
Mjapani aliyebuni probox alikuwa yupo vizuri na alikuwa ametulia. Hizo probox ndio daladala za kigoma ndanindani huko wanaziita mchomoko. Yaani mnajazwa watu, mizigo na mifugo sanasana mbuzi na kuku. Halafu dereva anaichochea kwenye vumbi la kigoma kwa kasi ya ajabu mkija kushuka wote mna rangi nyekundu ya udongo wa Kigoma... Mchomoko ni next level.
Napakumbuka Sana Kigoma aisee.

Kuna vumbi jekundu hatari Nyakanazi road Kibondo Hadi Kasulu Kisha Uvinza Hadi Kigoma mjini duuuh sio kwa like vumbi
 
Napakumbuka Sana kigoma aisee .

Kuna vumbi jekundu hatari nyakanazi road kibondo Hadi kasulu Kisha uvinza Hadi kigoma mjini duuuh sio kwa like vumbi
[emoji23][emoji23]lile vumbi noma sana miaka ya nyuma tulipeleka cruiser kadhaa kwenye kambi za wakimbizi asee unaweza sema haupo tz
 
Back
Top Bottom