Mbona wasi-economize SGR?Wakenya wanajua kueconomize sana, the y for quality and cheap.
Unapata sana shida ku-alternate pseudo accounts kisa u can't ignore threads in here as agreed by u n ur fellow Kenyans.Nimempa za uso akakimbia na pumba zake huko
Ile ni miradi ya serikali mkuu ila kwa matumiz binafsi ni wabahili sanaMbona wasi-economize SGR?
Ni taxi mara piaProbox ni Taxi Kenya
Nazikubali sana, hard car, nilitoka nako dom saa kumi alfajiri hii njia ya babati, nikaingia nacho chuga saa nne asubuhi, fully loaded with people and cargo kwa nyuma kule. Hatari hatariIla kiukweli brobox ni gari nzuri kuwa nayo kwani pia waweza itumia kama pickup
hapo ni barabarani au show room?hivi hizi gari bei yake ni shingapi mbona naziona ziko nyingi sana barabarani nikawa nashangaa vyuma vimekaza lakini mbona watu wananunua hizi gari eti kwani zinauzwa bei ganiView attachment 839904
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Gari iko na shape kama bread
Ahhh wapi!Sisi tunapiga biashara. Starehe za vijiweni achia Wadangagiza
Wakenya ni masikini sanaWakenya ni wachumi na wabahili wa kutupwa nadhani ndio maana wanaendelea. Wakija bongo utawakuta gest zile za uswahilini ndani ndani za bei nafuu na chakula kwa mama ntilie. Hiace zao (matatuu) nyingi ni zile fupi ngumu sio bongo mayai, akinunua gari ananunua gari gumu, linalobeba watu wengi na linalotumia mafuta kidogo. Sisi sasa mtu anachukua mkopo benki (mtumishi) yote anapeleka kwenye gari yenye cc 5000 halafu makato ya benki yakianza anaazatena kuilaumu serikali inamlipa m shahara kidogo
Wakenya ni masikini sana
Kwao matajiri ni wahindi tu!
That’s all
Mkuu mimi sio mtu wa magari lakini hizo Toyota Hiace ndogo vipank na zile kubwa dungu au shark unaweza kukuta engine sawa tu labda zote ni 1HZ.Wakenya ni wachumi na wabahili wa kutupwa nadhani ndio maana wanaendelea. Wakija bongo utawakuta gest zile za uswahilini ndani ndani za bei nafuu na chakula kwa mama ntilie. Hiace zao (matatuu) nyingi ni zile fupi ngumu sio bongo mayai, akinunua gari ananunua gari gumu, linalobeba watu wengi na linalotumia mafuta kidogo. Sisi sasa mtu anachukua mkopo benki (mtumishi) yote anapeleka kwenye gari yenye cc 5000 halafu makato ya benki yakianza anaazatena kuilaumu serikali inamlipa m shahara kidogo
Ukiona MTU mzima anaanza kucompare magari ujue hana mada wala kitu cha maana kutuambia. Akuje Nairobi aone the kind of machines spin on the roads. Halafu hizo picha umeweka hapo utasikia wakisema sio Dar. Wapumbavu sanaI don't see any road where Prado can pass through hereView attachment 839820View attachment 839821View attachment 839822View attachment 839823