Probox is still a very luxurious car in Kenya while Prodo is a car of a common mwanainchi in Tz!

Probox is still a very luxurious car in Kenya while Prodo is a car of a common mwanainchi in Tz!

Wakenya wanajua kueconomize sana, the y for quality and cheap.
 
Ila kiukweli brobox ni gari nzuri kuwa nayo kwani pia waweza itumia kama pickup
Nazikubali sana, hard car, nilitoka nako dom saa kumi alfajiri hii njia ya babati, nikaingia nacho chuga saa nne asubuhi, fully loaded with people and cargo kwa nyuma kule. Hatari hatari
 
hivi hizi gari bei yake ni shingapi mbona naziona ziko nyingi sana barabarani nikawa nashangaa vyuma vimekaza lakini mbona watu wananunua hizi gari eti kwani zinauzwa bei gani
Screenshot_2018-08-18-10-06-04-1.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2018-08-18-10-06-19-1.jpg
    Screenshot_2018-08-18-10-06-19-1.jpg
    75.1 KB · Views: 30
Wakenya ni wachumi na wabahili wa kutupwa nadhani ndio maana wanaendelea. Wakija bongo utawakuta gest zile za uswahilini ndani ndani za bei nafuu na chakula kwa mama ntilie. Hiace zao (matatuu) nyingi ni zile fupi ngumu sio bongo mayai, akinunua gari ananunua gari gumu, linalobeba watu wengi na linalotumia mafuta kidogo. Sisi sasa mtu anachukua mkopo benki (mtumishi) yote anapeleka kwenye gari yenye cc 5000 halafu makato ya benki yakianza anaazatena kuilaumu serikali inamlipa m shahara kidogo
Wakenya ni masikini sana
Kwao matajiri ni wahindi tu!
That’s all
 
Wakenya ni wachumi na wabahili wa kutupwa nadhani ndio maana wanaendelea. Wakija bongo utawakuta gest zile za uswahilini ndani ndani za bei nafuu na chakula kwa mama ntilie. Hiace zao (matatuu) nyingi ni zile fupi ngumu sio bongo mayai, akinunua gari ananunua gari gumu, linalobeba watu wengi na linalotumia mafuta kidogo. Sisi sasa mtu anachukua mkopo benki (mtumishi) yote anapeleka kwenye gari yenye cc 5000 halafu makato ya benki yakianza anaazatena kuilaumu serikali inamlipa m shahara kidogo
Mkuu mimi sio mtu wa magari lakini hizo Toyota Hiace ndogo vipank na zile kubwa dungu au shark unaweza kukuta engine sawa tu labda zote ni 1HZ.

Sijui ulilifanyia utafiti hili jambo?

Na hiyo shark na pank uimara ni sawa tu. Sema moja watu wanaingia wanainama migongo inauma na nyingine angalau hawaumizi migongo.
 
Back
Top Bottom