Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utofauti upo japo kwa haraka haraka huwezi kuona ila hapa nitaweka kwa uchache sana
• All parts are interchangeable
• Toyota Succeed ipo more luxurious ikiwa na extra padded seats pamoja na adjustable headrests. Wakati kwenye probox viti vyake ni vya kawaida
• Toyota Succeed vioo vyake vina electric windows,wakati probox haina powe window ni kuzungusha kwa mkono
• Toyota Succeed inataa ambazo kitalamu tunaziita reverse lights on the tailgate
• Toyota Succeed umbo lake ni kubwa ukilinganisha na probox
Upande wa size za tairi zinatofautiana sana Toyota Succeed inatumia 14 Inch rims wakati Probox inatumia 13 inch rims
Probox iliundwa kwa ajili ya kazi ngumu kama za shamba n.k wakati succed nafaninisha na slay queen ..light duty

[emoji16][emoji16][emoji16]Uongo ! Utakutana na iliopigika mpaka ikaita maji mma..
Mkuu kwa bajeti ya 8m naweza succed ya mkononi iliyonyonyooka ila usowe na haraka na usinunue kutoka kigoma , bukoba , tarime ogopa sana hayo maeneo unakutana number D ila imetepeta haswaa