Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wafanyakazi na wafanyabiashara wadogo wanaumizwa na riba kubwa na za kinyonyaji, mabenki yenyewe kila mwaka yanasherehekea tu kupata faida kubwa!! And no one cares!!Nchi yetu hii inayoongozwa na CCM kila kitu hovyo wizi kila sehemu,
Mikopo ya benk inawekwa processing fee ya kazi gani? Wakat huo huo unakatwa riba kubwa na bima huu sio wizi?
Mtu unakopa 12M kati ya hizo milioni moja nzima inakatwa etiprocesing fee na bima,
Yani kuniprocessia mkopo kunipa napo unanikata hela? Hivi huu upumbavu ni lini utaisha?
Lakini si wanatoa gawio?Wakati wafanyakazi na wafanyabiashara wadogo wanaumizwa na riba kubwa na za kinyonyaji, mabenki yenyewe kila mwaka yanasherehekea tu kupata faida kubwa!! And no one cares!!
Kwa hali hii tusahau kuuondoa umasikini.