Processing fee ya mikopo ya benk ni wizi uliokaliwa kimya

Kwenye taasisi za fedha mikopo ya aina zote( mfano: mortgages, overdraft, bank guarantee, salary advance, etc) ndio bidhaa/huduma zinazozifanya hizo taasisi ziishi. Wenyewe wanaziita, "Asset-based products". Kwa hiyo wakimpata mteja lazima wakukamue.
Jaribu kujiunga na SACCOS ndogo maana na zenyewe zikikua zinaanzisha hivyo vi processing fee kwa majina tofauti tofauti.
NB:
Kuna gharama zingine hujazitaja, mathalani: business plan cost, collateral valuation cost, legal fees, etc.
 
Wakati wafanyakazi na wafanyabiashara wadogo wanaumizwa na riba kubwa na za kinyonyaji, mabenki yenyewe kila mwaka yanasherehekea tu kupata faida kubwa!! And no one cares!!

Kwa hali hii tusahau kuuondoa umasikini.
 
Lakini si wanatoa gawio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…