Young murrah
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 415
- 458
vyote vipo marketable
Procurement akifanya na mtihani wa body anakuwa na nafasi nzuri sana.Japokuwa hiyo nyingine nayo nzuri sanaa.
Zote zipo vizuri ila IT ina opportunities nyingi za kujiajiri kwa kutumia ujuzi wako ukilinganisha na procurement
asante mkuu vip IT kwenye soko la Ajira
Kazi za IT ni nyingi mno na bado zitaendelea kuwa nyingi kwa nchi kama tz ila pia wanaohitmu kwenye fani hii ni wengi pia,cha msingi awe nondo tu na ahakikishe anajua vitendo sio nadharia tu.Katika hilo namshauri akasome DIT au kuna chuo kimoja kipo chini ya UDSM department of computer science kinaitwa African virtual University (AVU) au university computing centre.Ila hivyo viwili vya mwisho wanatoa level ya diploma,DIT wanatoa diploma mpaka bachelor
asante sana mkuu kwa kunielewesha Mungu akubariki umenifungua na mim ntamfikishia kama ulivyonifikishia
Karibu na kila la kheri,ila interest ni kitu cha muhimu sana katika kuchagua career hivyo aangalie asiwe driven na upatikanaji wa ajira bali aangalie anapenda nini sababu hicho ndio kitamfanya ashinde changamoto za ugumu wa course husika
kweli kabsa hiyo ni changamoto kubwa kabsa kuu nitamfikishia changamoto maana alikuwa akiongelea Ucc nimueleweshe alafu mm nkawa sijuhi ntamfikishia ujumbe hapo Ucc wanafundisha kip asa
...akisoma bachelor, IT inamaana ata graduate 2017. kwahiyo tuzungumzie soko la mwaka 2017 sio mwaka huu wazee.
ok. tufanye jamaa anaweza kwenda soma course yoyote kati ya hizo mbili. ingawa hatujui kama advance level alisomea combination gani na wala anaenda soma diploma au degree? mi kura yangu inaenda IT, course inakupa ujuzi binafsi unaweza apply direct ata kitaa kupata hela za nauli unapo tafuta ajira, pia miaka hii ya "ki-digitali" kila mtu anataka ajifunze computer. so, ni deal sana hapo baadae wataalamu wa info. ila kwakua wasomaji wa hizo mambo ni wengi, akiwa school asiuze sura. asome sana ili aondoke na marks kubwa kubwa. sie na Gentle-Men zetu tunasugua sana benchi hapa.
Wana kozi mbalimbali za IT kwa ujumla kuanzia cheti mpaka diploma.Wapo vizuri sababu wana facilities za kufanya mafunzo kwa vitendo.
asante kwa Info mkuu nitamwambia kuondoa utata uliopo vip ww mkuu ulisomea hiyo IT?
nenda ifm ukasome IT...ila ujue utakua unatembea na supp jirani
Yah,nilisoma computer science