Young murrah
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 415
- 458
- Thread starter
- #21
Procurement ndo mpango mzima hapo...
asante mkuu ila naomba ufafanuzi uzuri wake procurement
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Procurement ndo mpango mzima hapo...
kabla hujaamua usome course gani angalia kwanza ww mwenyewe unapendelea nini? Then ndo ufanye maamuzi kulingana na ushauri.Naomba nianze na Procurement a.k.a wizi wa kisomi.Hii course ni nzuri hasa pale ambapo utapata ajira serikalini au ktk mashirika ya umma kwani mishahara yake si mibaya sana na pia kuna marupurupu ya hapa na pale.Kwa ufupi kama ni taasisi nunuzi nzuri lazima utakuwa unanukia pesa kutokana na kwamba hawa ndo watu wanaongoza kwa vikao hasa vya tender mara kwa mara ambavyo huwa wana lipwa 50,000-100,000 per meeting,out of % from the purchases ambazo si halali kisheria.kwa upande wa IT ni nzuri sana hasa kama una mpango wa kuja kujiajiri mwenyewe bt kama unataka kuajiriwa utabaki kusubiri mwisho wa mwezi na kujiuliza Mbona hawa watu wa manunuzi wanabadilisha magari kila kukicha?.Pia nakushauri ujaribu kuomba ushauri kwa watu waliopo kwenye hizo field.
"Procurement value for money + 70% of government expenditure are spend on procurement"
IT is better.
nenda ifm ukasome IT...ila ujue utakua unatembea na supp jirani
Asome PROCUREMENT ipo fresh sana halafu akimaliza BACHELOR yake asome mitihani ya bodi ya wagavi na wanunuzi yaani PSPTB zamani NBMM
It ni noma kaka mwambie akasome ila ajue anachokifanya!