Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,977
Sasa sikia kaka, kama ulikuwa na redio ya betri au home kulikuwa na deck, halafu muziki unaopigwa ni wa Oliver N'Goma, Monique Séka au Mbilia Bel – basi bila hata kujua ulikuwa unasikiliza kazi ya Manu Lima, yule jamaa mkali aliye-produce midundo ya kukata mauno, kutema mistari ya kihisia, na kupeleka watu mbali kimapenzi.
Manu Lima ni mtunzi, mpiga muziki na produsa wa asili ya Senegal–Cape Verde,
Manu Lima sio tu produsa, ni kama mchoraji wa sauti. Midundo ya Afro-Zouk, kizomba, soukous, morna – yote alikuwa anachora kama Picasso wa muziki.
Hebu rudi nyuma bwana, unakumbuka hizi ngoma? hizi ndo ngoma najua manu lima kafanya kama producer ilikuwa ukienda kwenye harusi kama hujasikia kazi hizi basi hiyo harusi ina matatizo.. producer manu alituburudisha sana waafrica hongera sana kwake hebu sikiliza beat afu achia comment hasa hiyo beat ya pili missiouw ya monique seka
View: https://youtu.be/fBTm7LJejX0?si=WFK-5Yc4PhqQiySv
View: https://youtu.be/MS1l-9thD2M?si=8Xstbf5RLO37ZR53
View: https://youtu.be/J8UdLgTinM8?si=JQwzn1XaRG2cOI6W
View: https://youtu.be/-a48wndV45g?si=TFIm8exfHKTl56eP
View: https://youtu.be/yUagYzNgb3U?si=OSZf6xk2KCIEu56h
View: https://youtu.be/ZU7ML0lcM1s?si=LkQSEGyh6m-NIbEw