Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,977
nataka kumjua producer alietengeneza, wimbo uitwao OU LE. bonge la wimbo wa zouk.
km ni hivyo kwakweli mkuu, huyo Manu Lima anajua sana kuzalisha MUZIKI. kwangu huyo ndio producer bora wa muda wote wa Afrika.Wimbo Kassav, ni huyo huyo Manu Lima. Moja kati ya tunu za kiafrika kwenye utayarishaji wa muziki. Ya Jean ya Madilu System katengeneza huyu jamaa.
Bro, producer wa beat ya “Ya Jean” wa Madilu System ni mtu anayeitwa Ibrahima Sylla. Huyu producer alifanya kazi zote za album nzima ya Sans Commentaire mwaka 1993, ya madilu!Wimbo Kassav, ni huyo huyo Manu Lima. Moja kati ya tunu za kiafrika kwenye utayarishaji wa muziki. Ya Jean ya Madilu System katengeneza huyu jamaa.