Producer Castro Ponela yuko wapi?

Producer Castro Ponela yuko wapi?

Ndoano

Senior Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
192
Reaction score
32
Habari yenu wana JF,

napenda kujua Producer Castro Ponela aliekuwa na kesi ya kumuua msanii Steve 2K, yuko wapi siku hizi? Jela, uraiani au wapi?
 
Habari yenu wana JF napenda kujua produza castro ponela aliekuwa na kesi ya kumuua Msanii Steve 2k yuko wapi siku hizi?jela,uraia au wapi?

itakuwa yupo jela kwani taarifa za kukamatwa kwake nilizisikia lakini za kuachiwa sijazisikia
 
Kuna thread ilikua kule celebrity nadhani mwaka jana ikimzungumzia. aliachiwa na kwa sasa nadhani shughuli za production nazifanyia kwao Mbeya.
 
Back
Top Bottom