TANZIA Producer Geof Master aliyefanya kazi Tongwe Records afariki dunia

Kakumamoto

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2015
Posts
1,237
Reaction score
1,696
Habari wanaburudani, nimepokea taarifa za kusikitisha za msiba wa Producer Geof Master muda huu. Naambiwa alikua kalazwa Ocean road. Mara ya mwisho kuonana nae mitaa ya Tegeta alikuwa na uvimbe puani na alikuwa kwenye harakati za kufanyiwa upasuaji.

Naambiwa leo asubuhi amefariki. Mama yake anaishi Tegeta, naamini msiba wake pia utakuwa Tegeta. Kwa mlio mjini na mkaweza kufika msibani, tunaomba muendelee kutupa taarifa zaidi. Pumzika Pema Peponi Geof Master aka Manuva.

Geof_Master.jpg

=======

Geof Master alisimamia wimbo maarufu wa 'Zimbabwe' wa Roma Mkatoliki pia alishirikishwa kwenye wimbo wa 'Ivan' na Roma Mkatoliki.

Geof Master ameacha watoto saba kutoka kwa mama wanne.
 
Habari wanaburudani, nimepokea taarifa za kusikitisha za msiba wa Producer Geof Master muda huu. Naambiwa alikua kalazwa Ocean road. Mara ya mwisho kuonana nae mitaa ya Tegeta alikua na uvimbe puani na alikua kwenye harakati za kufanyiwa upasuaji. Naambiwa leo asubuhi amefariki. Mama yake anaishi Tegeta, naamini msiba wake pia utakuwa Tegeta. Kwa mlio mjini na mkaweza kufika msibani, tunaomba muendelee kutupa taarifa zaidi. Pumzika Pema Peponi Geof Master aka Manuva.
Ocean Road Hospital maana yake Cancer imemuondoa.
 
Habari wanaburudani, nimepokea taarifa za kusikitisha za msiba wa Producer Geof Master muda huu. Naambiwa alikua kalazwa Ocean road. Mara ya mwisho kuonana nae mitaa ya Tegeta alikuwa na uvimbe puani na alikuwa kwenye harakati za kufanyiwa upasuaji.

Naambiwa leo asubuhi amefariki. Mama yake anaishi Tegeta, naamini msiba wake pia utakuwa Tegeta. Kwa mlio mjini na mkaweza kufika msibani, tunaomba muendelee kutupa taarifa zaidi. Pumzika Pema Peponi Geof Master aka Manuva.

=======

Geof Master alisimamia wimbo maarufu wa 'Zimbabwe' wa Roma Mkatoliki pia alishirikishwa kwenye wimbo wa 'Ivan' na Roma Mkatoliki.

Geof Master ameacha watoto saba kutoka kwa mama wanne.
R.I.P master
 
Back
Top Bottom