Producer Lamar "nina mpango wa kununua ndege binafsi hivi karibuni"

Producer Lamar "nina mpango wa kununua ndege binafsi hivi karibuni"

Baada ya mwaka mmoja akiita press conf, alafu akaja ukumbini na Shorwe au Kitorondo sijui mtamshtaki wapi.....nadhani mngepambana kwanza na BAKITA ili watofautishe kati ya ndege (bird) na ndege (aeroplane).

Kwani unafikiri atasemaje..........atasema MLININUKUU vibaya.
 
Siyo kila mtu akifanikiwa ni madawa watu wanapiga kazi wewe waza madawa tu.

Pia nina uhakika uwezo wa kununua anao zile ndege ndogo tatizo uendeshaji wako unatumia gharama sana kuanzia mafuta. Bima. Kumlipa rubani.service. etc

Bei si kubwa sana

Money Stuna,,tupe gharama ya jet moja,then utupe gharama za kuileta,kuruka,bima,kodi,mafuta na rubani,
Yan utupe gharama halisi kwa mchanganuo then tupime uwezo wa huyu mtanzania mwenzetu na dili zake.
Maana kwa kazi ya kutengeneza muziki kwa kompyuta bongo hii ni pesa ya mboga mzee.
 
Back
Top Bottom