Debwadebwa
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 204
- 278
umenenaMi nawashangaa hawa vijana wakati wanafanya kazi matumizi yao makubwa ni starehe hawakumbuki kuwekaza ila wakiumwa wanatukumbuka sisi wala ugali na mlenda tuwachangie ile ndogo tuliyonayo khaaaa[emoji53][emoji53]
Mi binafsi sitakuja kuchanga hela yangu kwa ajili ya matibabu kwa mtu yoyote maarufu[emoji41][emoji41]
Mi namuombea uponyaji tu hilo la helaa nehiiii
ohoooo"!!!Papuchi zitawamaliza hawa vijana wa kisasa...
Hata hao wanaojiweza inafika mahala pesa inakata kutokana na ugonjwa. Usiombe yakukute ndugu. Anaweza akawa na pesa lkn za kawaida hajafikia level ya umilioneaMi nawashangaa hawa vijana wakati wanafanya kazi matumizi yao makubwa ni starehe hawakumbuki kuwekaza ila wakiumwa wanatukumbuka sisi wala ugali na mlenda tuwachangie ile ndogo tuliyonayo khaaaa[emoji53][emoji53]
Mi binafsi sitakuja kuchanga hela yangu kwa ajili ya matibabu kwa mtu yoyote maarufu[emoji41][emoji41]
Mi namuombea uponyaji tu hilo la helaa nehiiii