Producer Luffa Anaumwa.

Producer Luffa Anaumwa.

Debwadebwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
204
Reaction score
278
Kijana hali ni tete anahitaji msaada.
Screenshot_20190916-215654.png
Screenshot_20190916-215401.png
 
tumuombee kwa sir God apone soon uyu mwanetu 🙏🙏🙏
 
Mola amjalie afya yake itengemae ila maproducer si huwa wanalamba mkwanja mrefu inakuaje sasa kuomba kuchangiwa? Its like leo nisikie S2keezy au kimambo wanaumwa wanahitaji michango wakati kugonga biti tu andaa si chini ya jiwe tano
 
Mi nawashangaa hawa vijana wakati wanafanya kazi matumizi yao makubwa ni starehe hawakumbuki kuwekaza ila wakiumwa wanatukumbuka sisi wala ugali na mlenda tuwachangie ile ndogo tuliyonayo khaaaa😕😕
Mi binafsi sitakuja kuchanga hela yangu kwa ajili ya matibabu kwa mtu yoyote maarufu😎😎
Mi namuombea uponyaji tu hilo la helaa nehiiii
 
Mi nawashangaa hawa vijana wakati wanafanya kazi matumizi yao makubwa ni starehe hawakumbuki kuwekaza ila wakiumwa wanatukumbuka sisi wala ugali na mlenda tuwachangie ile ndogo tuliyonayo khaaaa[emoji53][emoji53]
Mi binafsi sitakuja kuchanga hela yangu kwa ajili ya matibabu kwa mtu yoyote maarufu[emoji41][emoji41]
Mi namuombea uponyaji tu hilo la helaa nehiiii
umenena
 
Hata hao wanaojiweza inafika mahala pesa inakata kutokana na ugonjwa. Usiombe yakukute ndugu. Anaweza akawa na pesa lkn za kawaida hajafikia level ya umilionea
 
Ombeni michango ya kumkatia bima ya afya akatibiwe ! . tatizo nyie wasanii mnatia huruma mkiwa na shida tu mkiwa na afya zenu mnakua bize kusuka nywele .. ukiwa na mmalaya wako mwenye makkalio makubwa basi unasahau kuwa kuna kuumwa na kufa !!..
 
Back
Top Bottom