Producer Man water afunga ndoa, Tazama picha za harusi ya producer Man Water

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[h=1] [/h]



Producer Man Maji Man Water ambalo jina lake kamili ni John Vomo Shariza Siku ya Jumamosi tarehe 21 Septemba 2014 katika kanisa la KLPT Kigamboni jijini Dar es salaam alifunga ndoa na mke wake aliyejulikana kwa jina Matilda Jimmy Igoti katika ukumbi wa Karimjee Hall jijini Dar es salaam
 
Ubaya wa picha bwana unaiangalia mpk unamtoa mtu kasoro..
mdada mkyutu nakubali, ila hapo mgongon anakibyongo au ni nguo tu imembana kwahiyo nyama zimepanda juu??
Nauliza tu..
 
Ubaya wa picha bwana unaiangalia mpk unamtoa mtu kasoro..
mdada mkyutu nakubali, ila hapo mgongon anakibyongo au ni nguo tu imembana kwahiyo nyama zimepanda juu??
Nauliza tu..

Au mambo ya kutaka ku fit dress si yako mpaka minyama uzembe yote inabanwa, ikiachiwa inafutuka kama una kibiongo.
 
Huyo mwanamke ndie yule aliyemchukulia 20% au ni mwingine???
 
kachemka suti na singlend kwenye harusi mmmmm
 
Hongera zake,

Hivi 20% ndo alimtoa huyu au huyu ndo alimtoa 20per??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…