Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera zake..
hiyo vest na kot kama sijaelewa hiv!!
Kama na kanisan alienda na "Easy go" bas katisha.."Easy go"inaitwaga hiyo staili dadangu. Bila jasho fullu vent. Ielewe tuu
Hongera zake..
hiyo vest na kot kama sijaelewa hiv!!
HahaaaaHahaha, hata mimi nilitaa kucheka nikafikiri nimeona peke yangu.
Hiyo inaitwa "Mizenguo Pinda".
Ubaya wa picha bwana unaiangalia mpk unamtoa mtu kasoro..
mdada mkyutu nakubali, ila hapo mgongon anakibyongo au ni nguo tu imembana kwahiyo nyama zimepanda juu??
Nauliza tu..
Kama na kanisan alienda na "Easy go" bas katisha..
alifungia boman
kachemka suti na singlend kwenye harusi mmmmm
dada mkyuti
mbona watoto wa wachungaji ndio wahuni kulikoWalter dingi yake ni mzee wa kanisa ndio maana ana mambo ya kibabubabu ukimfatilia vizuri.