First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
Hongera zake,
Hivi 20% ndo alimtoa huyu au huyu ndo alimtoa 20per??
umejibu vizuri sanawote walitoana..
Mbona mleta habari kasema ni kanisani???tujuze basi
[h=1][/h]
Producer Man Maji Man Water ambalo jina lake kamili ni John Vomo Shariza Siku ya Jumamosi tarehe 21 Septemba 2014 katika kanisa la KLPT Kigamboni jijini Dar es salaam alifunga ndoa na mke wake aliyejulikana kwa jina Matilda Jimmy Igoti katika ukumbi wa Karimjee Hall jijini Dar es salaam
Ubaya wa picha bwana unaiangalia mpk unamtoa mtu kasoro..
mdada mkyutu nakubali, ila hapo mgongon anakibyongo au ni nguo tu imembana kwahiyo nyama zimepanda juu??
Nauliza tu..