Producer Man water afunga ndoa, Tazama picha za harusi ya producer Man Water

Producer Man water afunga ndoa, Tazama picha za harusi ya producer Man Water

Huyu ndiye Man Water ft. Mbatizaji alimtungia single ya 'Wife Material'. Demu mzuri jamani acheni masikhara.
 
[h=1][/h]



Producer Man Maji Man Water ambalo jina lake kamili ni John Vomo Shariza Siku ya Jumamosi tarehe 21 Septemba 2014 katika kanisa la KLPT Kigamboni jijini Dar es salaam alifunga ndoa na mke wake aliyejulikana kwa jina Matilda Jimmy Igoti katika ukumbi wa Karimjee Hall jijini Dar es salaam

Sure mkuu harusi ilipendeza kwa kweli maharusi wetu walivyotoka ukumbi wa Karimjee hall walielekea hotelini kupumzika na kuyapita mataa ya trafic lights pale daraja la salender bridge na kuingilia barabara ya kinondoni road.
 
Ubaya wa picha bwana unaiangalia mpk unamtoa mtu kasoro..
mdada mkyutu nakubali, ila hapo mgongon anakibyongo au ni nguo tu imembana kwahiyo nyama zimepanda juu??
Nauliza tu..

jaman.....
 
Back
Top Bottom