Producer Mikka Mwamba ahojiwa kwa mara ya kwanza, alikuwa hataki kuonekana

Producer Mikka Mwamba ahojiwa kwa mara ya kwanza, alikuwa hataki kuonekana

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Kama muziki unaoupenda ni Bongofleva na umekua ukiufatilia toka kitambo, jina la Mikka Mwamba halitakua geni kwako sababu ni Producer Hodari ambae mikono yake ilihusika kuzisuka Hits kama ‘Barua’ ya Daz Nundaz, ‘Salome’ ya Dully Sykes, Album ya kwanza ya Saida Karoli, Elimu Mitaani ya D Knob na nyingine nyingi.

upload_2017-8-14_10-32-24.png

Ni wengi hawakua wanafahamu kwamba Mikka sio raia wa Tanzania au ni ‘Mtasha’ na hiyo yote ni kwa sababu aliamua toka kitambo asionekane kwenye Media wala kupigwa picha lakini leo amekubali kukaa kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO.

Jina lake la kuzaliwa ni Mikka Kari ambapo hilo Kari kwa nyumbani kwao Finland linamaanisha ‘Mwamba wa baharini’.

View attachment 565576

Katika beats alizotengeneza mikka, kwenye baby gal ya mad ice na elimu mitaani ya d knob! alitulia sana...! Yaani pale ndo niliamini huyu jamaa hana mpinzani ukimuacha p funk..!

Nadhani itapendeza sana kama akifanya ngoma mbili tatu na vijana wa sasa...! Akiwemo na Aslay...! Dogo atumie fursa hii kutoka kwa gwiji huyu...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ni mweled sana wa kujibu maswali

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Kweli JF ina impact kubwa, yaani baada ya kuona tumemdadavua vyema wiki iliyopita na kuona wadau tuko interested naye Millard Ayo akaona akimtafuta habari itauza maana wengi tulipenda kumjua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
JF ni baba wa mitandao ya kijamii ndani na nje ya mipaka yetu, siku ikiwadown huwa najihisi kuumwa, hakuna kipindi kigumu kwangu toka nimekuwa humu jamvini kama wakati wa uchaguzi mkuu wa 2015
 
hapana mzee.ni millad ayo ndo kamtafuta.tena ni baada ya mdau humu kuanzisha mada.kiukweli.mimi mwenyewe nimekuta kumjua juzi tu hapo humu.nilikuwa namsikia kazi zake tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

It is not a coincidence, jamaa yuko Dar kwa wiki kama mbili sasa, na baada ya kuja ndo thread yake ikawekwa humu, then Millard anamfanyia interview.

1. Interview ya Millard Ayo aliifanya lini? (Make tuliyoiona ni recorded)
2. Vipi kama mtu aliye karibu na Millard ndo alileta thread baada ya kupata tip ya kwamba Millard atamfanyia interview?
3. Au kama ni Millard mwenyewe aliiweka humu ili kupata base ya maswali na interview yenyewe, ili kumwelewa jamaa vizuri kabla ya kumfanyia interview?

Ninachokiona mimi ni kwamba thread na interview ya Millard Ayo vina uhusiano wa moja kwa moja.
 
Mtaalam Hard mad kwenye Tamala alsema Miikaaaa mwambaaaaaaaaaa
Hili dude linanikumbusha mbali sana...! Kipindi ndo naanza kwenda club kukesha...! Mid mida mikali (kianzia saa tisa) mmeshaanza kusinzia... Basi DJ anawaamsha na hili dude...! Hard mad akimshirikisha dada yake fatma..!

Daaah! Amakweli ujana maji moto...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kama sio mtoto wa juzi basi haufatilii muziki wa kizazi kipya..

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposema mziki wa kizazi kipya ni kipi hicho? Maana bongo flava ina kama 20 years tayari hakuna upya tena labda singeli ndio muziki wa kizazi kipya... kufuatulia sifuatilii but nasikiliza sometimes kwanza mleta mada kasema Mikka alikuwa Hataki kuonekana but yeye mwenyewe kasema hakuwahi fuatwa na mwandishi yeyote. Pia alikuwa mfanyakazi ni ngumu kujisifia
 
Back
Top Bottom