Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika beats alizotengeneza mikka, kwenye baby gal ya mad ice na elimu mitaani ya d knob! alitulia sana...! Yaani pale ndo niliamini huyu jamaa hana mpinzani ukimuacha p funk..!
Nadhani itapendeza sana kama akifanya ngoma mbili tatu na vijana wa sasa...! Akiwemo na Aslay...! Dogo atumie fursa hii kutoka kwa gwiji huyu...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umezaliwa lini?Unaposema mziki wa kizazi kipya ni kipi hicho? Maana bongo flava ina kama 20 years tayari hakuna upya tena labda singeli ndio muziki wa kizazi kipya... kufuatulia sifuatilii but nasikiliza sometimes kwanza mleta mada kasema Mikka alikuwa Hataki kuonekana but yeye mwenyewe kasema hakuwahi fuatwa na mwandishi yeyote. Pia alikuwa mfanyakazi ni ngumu kujisifia
HahahahUmezaliwa lini?
Watu wa serikali mnataabu sana comment tu inakufanya uanze kuhakiki uzao.Umezaliwa lini?
dah kitambo sanaHili dude linanikumbusha mbali sana...! Kipindi ndo naanza kwenda club kukesha...! Mid mida mikali (kianzia saa tisa) mmeshaanza kusinzia... Basi DJ anawaamsha na hili dude...! Hard mad akimshirikisha dada yake fatma..!
Daaah! Amakweli ujana maji moto...!
Sent using Jamii Forums mobile app