Producer Mikka Mwamba ahojiwa kwa mara ya kwanza, alikuwa hataki kuonekana

Mbona alikuwa anaonekana sana tu
Enzi hizo yuko anapiga kazi ofisi yke ilikuwa Hugo house kinondoni!

Ova
 
Naongezea ile ya Hard mad,Tamara
 
Haa!! Haaaa!!! , kila napolisikia jina la huyu jamaa, basi namkumbuka, kapaaaafona, mapafu ya mbwa A. K. A the dude, dudu baya na lile ngoma lake anasema simika muziziiiii ( afu kuna kademu k anasema tetemetee), aaah !! jamaa alitisha, kipindi kilee asikwambie mtu bwana.
 
Umezaliwa lini?
 
Binafsi sikuwahi kujua au hata kuwaza huyi gwiji kama sio mtanzania, Aisee! Dully alikua anamtaja kwa mbwembwe
 
Huwezi kuandika Historia ya Bongo flava bila kulitaja jina Hili. He is undisiputed Master.
 
dah kitambo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…