qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Mkuu qn of sheba
Huyu jamaa Marco chali huwa anatoa hit si chini ya tano kila mwaka na ni producer ambaye ana baki kwenye chat kila leo kama mtu ni mfatiliaji wa Muziki hawezi kubisha.Marco Chali si producer wa msimu.
Tunapo ongea sasa ana hit Song zaidi ya mbili Radion mfano Asante ya AY na nilipo mkubali ni baada ya kusikia wimbo mpya wa Mwana FA -Mfalme ft G.Nako hakika nime mkubali kwenye zile mixing zinga la wimbo.
Sasa huyu ana lalamika kwa kuwa na wimbo mmoja tuu.
Ni nyingi tu mkuu ukifatilia nyimbo nyingi za wasanii tofauti kuanzia miaka ile ya 2006 mwishoni hadi sasa utakuta anahit zaidi ya kumi kwa mwaka, tena nyimbo nyingi za wasanii wa nje wakija bongo akina Jmartins ukisikia collable wamefanya hapa jua lazima producer awe yeye.. Ana hit kali sana