Producer wa ngoma ya Politrix ya Rapcha adaiwa kutekwa na "watu wasiojulikana"

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu

Msanii Rapcha ametoa taarifa za kupotea kwa ndugu yake Isack Katinde, mwenye umri wa miaka 29, ambaye alitoweka jijini Dodoma tarehe 6 Novemba 2025 majira ya saa tano usiku.

Kwa mujibu wa Rapcha, Katinde alipokea simu kutoka kwa mtu aliyedai kuwa ni bosi wake na akaondoka kwenda kukutana naye, lakini hakurudi tena. Mara ya mwisho alituma live location iliyomuonyesha akiwa eneo la Singida Road saa saba usiku kabla ya simu yake kukatika.

Rapcha ametoa wito kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu alipo Katinde kuwasiliana kupitia namba 0783497294.

Hiyi ngoma yenyewe ni hii

rap.png
 
View attachment 3499560

Vipi ni mwanaharakati
 
TUpe ukurasa wake wa facebook tuangalie machapisho na coment zake tutajua yupo wap
 
Back
Top Bottom