Naijua hiyo muziki very well, single maarufu za muda wote ni kama
-I'm blue ya Eiffel 65,
-Sandstorm ya Darude,
-Exploration of space ya Cosmic Gate,
-It's a dream ya Dark By Design,
-Better Of Alone ya Alice DeeJay,
-48 hours ya Vengaboys,
-Like I Love You ya The Hitmen.
Genres au subgenres zinazohit kwenye EDM ni House, Eurodance, Techno, Epic Trance, Progressive Trance na Happy Hardcore, katika hizo ipi unayopenda zaidi?, mimi katika hizo huniambii kitu kwenye Happy Hardcore, umeshawahi kusikiliza happy hardcore?, ni mfano wa singeli, ni makombora matupu, kila track ni nzuri.