Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha fikra za kimasikiniWametopea kwenye dimbwi la madawa ya kulevya wengi wao wapo sober houses [emoji38][emoji38][emoji38]
Wanaajiriwa Serikalini pia.Yaani usone Feza halafu ukaajiriwe halmashauri ya ushirombo?!!
Acha uchawiWametopea kwenye dimbwi la madawa ya kulevya wengi wao wapo sober houses [emoji38][emoji38][emoji38]
Yah hata mtot aliyeluwa boss wangu tra yuko CanadaHawa wapo njee mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Wametopea kwenye dimbwi la madawa ya kulevya wengi wao wapo sober houses [emoji38][emoji38][emoji38]
Wengi tu wameajiriwa serikalini wapo walioajiriwa TRA, walimu, daktari, Engineer n.kNaomba kujua
Hii shule zaidi ya miaka 15 kila mwaka kitaifa matokeo ya form 4 na form 6 lazima iwepo.
Ila product zake sijawahi kutana nazo sio serikalini hata private sector.
Huwa zinaenda wapi?
Unaongea kitu ambacho hukijui, wapo wengi tu wameajiriwa serikalini, and wapo pia walioenda kutafta opportunities nje ya Tanzania, pia wapo walioajiriwa kwenye mashirika hapa hapa bongoYaani usone Feza halafu ukaajiriwe halmashauri ya ushirombo?
Unanijibu mimi au mtoa mada?!Unaongea kitu ambacho hukijui, wapo wengi tu wameajiriwa serikalini, and wapo pia walioenda kutafta opportunities nje ya Tanzania, pia wapo walioajiriwa kwenye mashirika hapa hapa bongo
Punguza mentality yakuwa ukisoma shule za feza basi ww n mtu tofauti